
Kuna nyepesinyepesi zimetufikia kuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Power Breakfast pichani Gerald Hando ameelekea Arusha jana tarehe 30 August 2009 kwa ajili ya kupanda mlima wa Kilimanjaro, hadi sasa hatujajua lengo hasa la safari hiyo ila tutawanyetisha mara tu ya kupata habari kamili. Kila la heri Gerald!!!!!
No comments:
Post a Comment