Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, October 1, 2009

Hatimaye Z Anto na Binti Kiziwi wameachana?

Nyepesi imepata fununu kuwa yule msaani wa bongoflava aliyejipatia umaarufu katika nyimbo zake za "Mpenzi Jini" na "Binti Kiziwi", Z Anto, ameongea na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na binti kiziwi . (Kama ni issue inayowezekana kurekebisha plsss kaeni chini mzungumze hakuna linaloshindana chini ya JUA)

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote