Acid (Gastritis)
Mambo yanayosababisha
· Unywaji wa pombe kupitiliza
· Magonjwa ya Peptic Ulcer
· Magonjwa ya Pernicious Anemia
· Ulaji wa vyakula vyenye viungo vingi
Tiba
1. Unywaji wa maji ya madafu hulifanya tumbo liwe katika hali ya kawaida kwa muda mfupi
2. Unywaji wa maji ya uvuguvugu kiasi cha lita 1 kwa siku kabla ya kula kitu chochote ni tiba nzuri kwa Acid
3. Kunywa ½ Lita ya juice ya nyanya kila siku kabla ya kunywa chai
4. Pendelea kunywa freshi juice na maji mengi kwa siku
5. Kunywa juice ya mchanganyiko wa 200ml ya spinach na 300ml ya carrot kwa siku
Ushauri
Kabla hujaanza kutumia tiba hii jaribu kufanya vipimo ili uwe na uhakika na tatizo .Pia unashauriwa kupunguza matumizi ya pombe,uvutaji wa sigara au matumizi yoyote ya vitu vyenye Nicotine, ulaji wa vyakula vyenye viungo vingi , pilipili, kahawa na chai kavu. Unaweza kuona matokeo mazuri ya tatizo lako baada ya mwezi mmoja kama utafuata masharti.
No comments:
Post a Comment