Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, October 1, 2009

Dawa ya kuondoa Mistari, Michirizi, Mipasuko (Strech Marks) mwilini

Ukiangalia picha hizi utaelewa nazungumzia nini au namaanisha nini?

Michirizi, mipasuko, mistari au kwa kitaalum Strech marks
inasababishwa na vitu vifuatavyo:-
- Ujauzito
- Kuongezeka kwa mwili (unene)
- Ukuaji wa haraka wakati wa kubalehe
- Mabadiliko ya mwili


Lakini hii hali inaweza kupotea kabisa iwapo utafanya mambo yafuatayo:-
1. Upakaji wa mafuta laini (Lotion) aina ya
Vaseline Intensive care tumboni katika kipindi chote cha
ujauzito kinasaidia kutopata tatizo hili.

2. Upakaji wa srub ya Apricot ni dawa ya haraka ya tatizo hili

3. Upakaji wa Mafuta ya Lavender mara 2 kwa siku yanaondoa
tatizo hili kwa muda mfupi sana
4. Mchanganyiko huu ni dawa nzuri na ya kuaminika,
ni vizuri ukihifadhi mchanganyiko wako ndani
ya Friji kwa kipindi chote cha matumizi.

- 1/2 kikombe cha olive oil
- 1/4 kikombe cha alove vera gel
- Majimaji ya vidonge 6 vya vitamini E
- Majimaji ya Vidonge 4 vya Vitamini A

3 comments:

maryuma said...

Asante kwa msaada wako .je alovera gel ni ile gel ilokuepo kweny mti wake au? Na majimaji ya vitamini ana e unayayusha vidonge kwenye maji au yanauzwa tayar? Asante

Unknown said...

Asante dada je cocoa butter Hollywood from USA je haisaidii????

Unknown said...

Asanteee kwa msaada lakina izo hatua natumia zote au nachagua nafuu moja ndo natumia??

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote