Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Monday, March 15, 2010

Askofu mkuu wa Kanisa katoliki nchini Ujerumani ameahidi kufanyia uchunguzi madai ya vitendo vya unyanyasaji wa kimwili yaliyotolewa dhidi ya mapadri na kuahidi haki kutendeka kwa watu wote walioathiriwa na kashfa hiyo. Askofu Reinhard Marx, ambaye pia ni Askofu Mkuu katika majimbo ya Munich na Freising, ametoa taarifa hiyo baada ya kiongozi wa kanisa katoliki nchini Ujerumani Askofu Mkuu Robert Zollitsch kuomba radhi siku ya Ijumaa kufuatia kashfa hiyo ya kuwadhalilisha kimwili watoto. Aidha kanisa hilo nchini Ujerumani limemkosoa baba Benedikto wa 16 kwa kutoomba radhi moja kwa moja kwa waathiriwa wa kashfa hiyo.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote