Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Friday, March 12, 2010

Maalimu Seif atoka hospital

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, juzi aliruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Hindu Mandal, jijini Dar es Salaam, alikolazwa kwa siku sita, baada ya daktari aliyekuwa akimtibu, Dk. Ramaiya Kaosheki, kuridhishwa na maendeleo ya afya yake. Maalim Seif, ambaye alilazwa kutokana na matatizo ya shinikizo la damu na kifua, alitoka saa 4:00 asubuhi. Naibu Mkurugenzi wa Uenezi na Mahusiano na Umma wa CUF, Ashura Mustafa, alisema juzikuwa baada ya kutoka hospitali, Maalim Seif anatarajiwa kuendelea na shughuli zake za kawaida muda mchache ujao.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote