Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Monday, March 8, 2010

Twiga Stars Yaichabanga Ehiophi

TWIGA Stars imeanza vema kampeni yake ya kuelekea Afrika Kusini kwenye fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake kwa kuichapa Ethiopia kwa mabao 3-1 nyumbani kwake. Mshambuliaji mkongwe wa Twiga Stars, Estar Chabuluma 'Lunyamila' alifungua karamu ya mabao kwa kufunga bao la kuongoza katika dakika 24, kabla ya Mwanahamisi Omary kufunga bao la pili ( 53). Wenyeji Ethiopia walipata bao lao la kufutia machozi kupitia kwa Zaituni Rashid alilofunga kwa mkwaju wa penalti, kabla ya Asha Rashidi kuifungia Twiga bao la tatu dakika 88 ya mchezo.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote