Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, February 11, 2010

MNYONGE MNYONGENI NA HAKI YAKE MPENI

Nafikiri watanzania umefika wakati wa kutoa support kwa wale viongozi ambao hata kwa % fulani wameleta maendeleo na sio kukatishana tamaa 0% . Ni vizuri tukiwatumia wale tunaowaamini kuwa ni wasomi na wawe wawazi kwetu na sio kuleta mambo ya Siasa inapofikia suala la kuweka mambo wazi kwa maslahi ya wananchi. Ki ukweli kabisa hakuna mtu yoyote Mtanzania atayekuwa kiongozi katika nchi hii akaangalia maslahi ya wananchi 100% sanasana kila mtu ataangalia shida zake na familia yake pamoja na watu wake wakaribu kwa asilimia kubwa na asilimia chache wananchi wa kawaida. So tujifunze kuwapa moyo na kutoa support kwa wale wote mfano (MKAPA) ambao bila kuangalia nini walifanya kwa maendeleo ya taifa bado tunawaita wezi na mafisadi, kusema ukweli hii inakatisha tamaa. Tujaribu kuangalia kuangalia uongozi wa Nyerere hadi Kikwete na tuzichambue sekta zote muhimu then ifike wakati wa kujifunza kusema asante na kutoa sifa kuwa at least fulani alijitahidi na sio lawama 100%. nani ataweza? hakuna aliye timilifu 100% wote tunaowaona ni kelele za mdomo na sio utekelezaji? Au tuwape hao wanaopiga kelele then baada ya muda tuone wamefanya nini? nafikiri wakati wa kuongea umepita tunahitaji watekelezaji zaidi

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote