Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Tuesday, February 2, 2010

Chama Tawala chamtetea Zuma madai yake ya uzinzi

Pichani Rais Jacob Zuma akicheza na mke wake wa tatu Thobeka Madiba, wakati wa sherehe za harusi yao huko Nkandla, South Africa Jumatatu Jan 4, 2010.

Chama tawala nchini Afrika kusini ANC, kimeteta rais Jacob Zuma dhidi ya madai kuwa alipata mtoto nje ya ndoa na kuwa anahaibisha nchi kwa tabia yake ya uzinzi. Kwa mujibu wa wakuu wa chama, bwana Zuma hajavunja sheria zozote na kwamba hakuna cha kuaibisha katika uhusiano wa kimapenzi kati ya watu wawili. Vyama vya upinzani pamoja na vyombo vya habari vimemushutumu Zuma kwa kukiuka maadili pamoja na kutoa mfano mbovu kwa nchi inayokabiliana na ugonjwa hatari wa ukimwi. Mmoja wa wabunge nchini Kenneth Meshoe amemtaka Zuma kutafuta ushuari nasaha kwa tabia yake kama alivyofanya mcheza golf mashuhuri Tiger Woods.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote