Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, February 4, 2010

Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni!

Huwezi kuamini mtoto huyu wa miaka miwili ametoka salama katika ajali iliyotokea jumatatu mkoani Tanga wakati mama yake mzazi anadaiwa kufariki dunia katika ajali hiyo. Ajali hiyo iliyohusisha mabasi mawili ya Chatco na Nzuri, yaliyogongana uso kwa uso ilitokea eneo la Kwangahu, wilayani Handeni na kuua watu 25 na kujeruhi wengine 52.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote