Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Monday, February 15, 2010

Je unataka kuwa mweupe wa ngozi bila madhara kwa kutumia vitu vya asili?

Fanya hivi , tengeneza mchanganyiko wa
1. Kijiko kimoja cha asali
2 Kijiko kimoja cha Maziwa ya unga
3. Kijiko kimoja cha Juice ya ndimu
4. Nusu kijiko cha Mafuta ya almond

Paka mchanganyiko huo usoni au sehemu yoyote ya ngozi na uache kwa dakika 10 hadi 15 kama mara 3 kwa wiki utafanya ngozi yako iwe ung'ae na kuwa nyeupe

3 comments:

Unknown said...

Kwa nini utake kua mweupe wakati rangi yangu halisi sio hiyo? Unajua kua rangi nyeupe ina hatari zaidi ya kupata cancer ya ngozi kama unakua kwenye jua kali kama la hapa bongo bila kutumia kinga (sun blocks)za ngozi?
Jivunie rangi yako halisi, is't Beautiful!!!

Unknown said...

Swadakta kabisa Jacqui

Admin said...

black colour is good in any area ,wherever environment ,whatever the sunshine case

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote