Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Wednesday, December 9, 2009

Akaunti ya EPA kuondolewa BoT?

WAKATI uchunguzi wa Kampuni ya Lazard ya Ufaransa kuhusu hatima ya madai katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ukiendelea, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu, ametoa msimamo wake akisema BoT haitajihusisha tena na akaunti hiyo iliyokumbwa na ufisadi wa Sh133 bilioni. Tayari BoT kwa kushirikiana na Benki ya Dunia (WB) iliipa kazi ya miezi tisa kampuni hiyo ya Lazard, kuangalia uwezekano wa kuendelea au kutoendelea kulipa madeni ya EPA, kubaini wadai halali na namna ya BoT kuachana na akaunti hiyo.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote