Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, December 31, 2009

Pigo kubwa Tanzania - Simba wa Vita afariki Dunia Leo

WAZIRI Mkuu wa za zamani, Mzee Rashidi Mfaume Kawawa 'Simba wa vita' amefariki dunia leo asubuhi. Mzee Kawawa alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Kwanza ya Baba wa Taifa, MWalimu Julius Kambarage Nyerere. Kawawa amefariki dunia leo asubuhi,31,Desember, 2009, akiwa na umri wa miaka 83. Rais Jakaya Kikwete ametangaza siku saba za maombelezo ya kitaifa ya kifo cha Mzee Kawawa na kwa wakati huo bendera za taifa zitapepea nusu mlingoti. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Amina

3 comments:

Anonymous said...

[color=#bb3300]
Не знаеш как пройти в
библиотеку не попав под машину? Может-быть... есть мега предложение по[url=http://www.pi7.ru] видео[/url] порталу Думаю вам понравится

[url=http://www.pi7.ru]клитор мульты[/url]
aнекдот для разнообразия :)

Девушка после миньета лезет целоваться к мужику. Тот уже усьал отворачиваться
Она емсу гоовиит:
- Странный вы народ, мужики.. осел себя заппадл,о а после других нет.

Я 8 часовс блыждала по сетьи, пока не вышела на ваш форум! Думаю, я здсь останусь надолог!
прошу прощения за опечатки.... очеьн маленкьая клаватура у PDA!

[/color]

Anonymous said...

I'm curious to find out what blog system you are working with? I'm having somе minor security problems
with my latest website and I'd like to find something more risk-free. Do you have any recommendations?

Feel free to surf to my web page: Wedding dresses

Anonymous said...

Νicе post. I wаs checking conѕtantly thіѕ blog anԁ
І аm impressed! Vеry helрful іnfo speciallу the
lаst ρart :) I care for suсh іnfo a lоt.
I ωas looking for this particular informаtion
foг a long time. Thank уou and best of luck.

Fееl frеe to visit my ωeb pаge ::
SEOPressor

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote