Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Friday, December 18, 2009

Mtanzania mtunisha misuli aweka Rekodi kwa kushika nafasi ya pili

MTUNISHA misuli wa Tanzania, David Nyombo(pichani) ameshika nafasi ya pili ya mashindano ya kumtafuta mtunisha misuli bora wa Afrika (Mr. Africa 2009) nchini Mauritius.
Katika mashindano hayo, mtunisha misuli wa Misri aliibuka mshindi na kuzawadiwa medali ya dhahabu huku Nyombo alizawadiwa medali ya fedha.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote