Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Wednesday, December 9, 2009

Bastola yenye risasi yaokotwa ndani ya Daladala Dar

BASTOLA yenye risasi saba imeokotwa ikiwa imetelekezwa na mtu asiyefahamika kwenye daladala jijini Dar es Salaam. Bastola hiyo imeokotwa katika daladala lililokuwa na namba za usajili T 209 AWA linalofanya safari zake kati ya Kariakoo na Tandika. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ilisema kuwa bastola hiyo iliyokuwa na risasi saba iliokotwa jana majira ya saa 7 mchana, katika maeneo ya Mtaa wa Msimbazi karibu na kituo kidogo cha Polisi Gerezani.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote