Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, December 3, 2009

Zuma atoa changamoto siku ya Ukimwi duniani

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza mpango wa kutoa tiba kwa watoto wote wachanga wenye virusi vya ukimwi, ametangaza mpango huo katika maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani hapo jana.Zuma aliwaambia wananchi wake kwa njia ya televisheni kwamba, chini ya mpango huo watoto wote wenye umri chini ya mwaka mmoja watapatiwa tiba, wakibainika kuwa na virusi vya ukimwi. Hadi sasa tiba imekuwa inatolewa kwa watoto ambao tayari wamefikia hatua ya kuugua maradhi ya ukimwi. Rais Zuma pia ametoa mwito kwa wananchi wake wakubali kupimwa ukimwi kwa hiari zao.Na ili kuonyesha mfano, kiongozi huyo wa Afrika Kusini ataenda kupimwa kwa mara nyingine.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote