Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Friday, December 4, 2009

Hatimaje WASTARA apata mguu mpya

MSANII nyota wa filamu, Wastara amepata mguu wa bandia na ameonekana akifanya mazoezi ya kutembea nao akiwa na mumewe, Juma Kiloloko ‘Sajuki’. Wastara ambaye alizungumza jana moja kwa moja na redio moja ya jijini Dar es Salaam akiwa hospitalini jijini Nairobi alisikika akisema anamshukuru Mungu kwa sababu anaendelea vizuri. “Sasa hivi naendelea vizuri, namshukuru Mwenyezi Mungu nafanya mazoezi ya kutembea na mguu wa bandia bila kushika magongo,” alisema Wastara. Kabla ya kuwa mume na mke Wastara na Sajuki walijipatia umaarufu kwa kupitia filamu ya ‘Mboni yangu’, ambapo dada huyo alicheza kama mlemavu wa macho, ambapo baadaye alipata ajali maeno ya Tabata jijini Dar es Salaam, ambapo alipoteza mguu moja.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote