Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Tuesday, December 1, 2009

Hayawi hayawi yamekuwa Chelsea Clinton kuolewa hivi karibuni!!!!

Kuna taarifa za Kuaminika kuwa mtoto wa Rais wa zamani wa Marekani Chelsea Clinton ataolewa hivi karibuni na rafiki yake wa siku nyingi pichani Marc Mezvinsky .Wapenzi hawa ijumaa iliyopita waliwatumia rafiki zao barua pepe kuwajulisha kuwa wanaangalia na kutafuta tarehe maalumu kwa ajili ya ndoa yao. Inasemekana urafiki wa Chelsea na Marc ni wa muda mrefu tangia enzi za utoto wao ila baada ya kuwa wakubwa waliamua na kuanzia uhusiano wa kimapenzi, pamoja na hayo wapenzi hawa wamewahi kusoma pamoja katika chuo cha Stanford Kwa sasa wote wanaishi New york, Marc akifanya kazi G3 Capital Manhattan hedge fund na Chelsea akifanya degree yake ya Public Health. Kila la heri

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote