Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Monday, December 14, 2009

Kili Stars Yawasili Na Mfungaji Bora Wa Chalenji

BAADA ya kushindwa kutwaa ushindi wa tatu wa michuano ya Kombe la Chalenji, timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kili Stars’ inatarajiwa kuwasili nchini mchana huu ikitokea Kenya. Kwa mujibu wa habari kutoka kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Frederick Mwakalebela, alisema timu hiyo itawasili mchana huu katika Uwanbja wa ndege wa Julius Nyerere.“Tunaomba wadau wajitokeze kuja kuipokea timu yetu ya taifa, lengo ni kuwapa hamasa wachezaji wetu kwa maendeleo ya zoka letu,” alisema Mwakalebela.Kili Stars inawasili na mfungaji bora wa Kombe la Chalenji Mrisho Ngassa aliyefunga mabao matano.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote