Hii ndio nyumba ya Tiger iliyopo Orlando
Tiger na Mkewe Ellin
Tiger na wanawake 3 anashutumiwa kuwa na mahusiano nao kimapenzi
Tiger Wood ,Bingwa wa Mchezo wa Golf duniani hivi karibuni amejiingiza kwenye skendo nzito ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake watatu tofauti . Tiger amekiri kosa pia ameomba radhi kwa familia yake na washabiki kwa kujivunjia heshima kwa yale yote yaliyotokea.
No comments:
Post a Comment