Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Friday, December 18, 2009

Cheka atamba kumchapa Muargentina ENRICO

Bingwa wa ngumi za kulipwa wa mikanda ya ICB na UBO, Francis "Electrified" Cheka ametamba kumtwanga mpinzani wake Enrico Areco wa Argentina katika pambano lao la litakalochezwa kesho jijini Dar es Salaam. Cheka na Areco watapanda ulingoni siku ya Jumamosi kwenye ukumbi wa PTA, kupigana katika pigano la raundi 12 kuwania taji la WBC linaloshikiliwa na Muargentina huyo na lile lake la UBO.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote