Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Tuesday, December 8, 2009

Didier Drogba kusuuza nyoyo za Watanzania??????

Yule mchezaji mahiri Didier Drogba, Salomon Kalou, Yaya Toure na Kolo Toure, ni miongoni mwa nyota wa kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast kitakachotua hapa nchini Januari 2 kwa ajili ya kuweka kambi ya wiki moja kwa ajili ya maandalizi ya safari yao ya kwenda nchini Angola kushiriki kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika. Ivory Coast chini ya nahodha wao mshambuliaji wa vinara wa Ligi Kuu ya England Chelsea, Drogba, watacheza mechi mbili za kirafiki hapa na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kabla ya kuelekea Angola.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote