Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, December 31, 2009

Amuua Mkewe kwa kujifungua mtoto wa Kike!!!!!!!!!!!!!

Daniel Hicks mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Seattle (pichani katikati), Washington nchini Marekani anatafutwa na polisi baada ya kumuua mkewe na mtoto wake mchanga wa kike mwenye umri wa miezi mitatu(pichani). Daniel alifanya mauaji hayo kwa kuwa alikuwa hajaridhia mkewe Jenifer Morgan mwenye umri wa miaka 28 kujifungua mtoto wake. Daniel alimwonya mkewe wakati wa ujauzito wake kuwa iwapo atajifungua mtoto wa kike basi atamkataa yeye na mtoto atakayejifungua. Miezi mitatu baada ya mkewe kujifungua mtoto wa kike, Daniel alishindwa kuzizuia hasira zake na kumuua mkewe pamoja na mtoto wake mchanga kabla ya kutoroka na kujificha sehemu isiyojulikana. Daniel alimuua mkewe kwa kumpiga risasi 12 na hakuwa na huruma hata kidogo kwa mtoto wake mchanga ambaye alimuua kwa kumtandika risasi 7. Daniel kabla ya kutoroka aliacha ujumbe akisema kuwa anasikitika yeye pia ana ugonjwa kama wa babu yake.Mnamo mwaka 1983 , Babu yake Daniel alimuua mkewe kwa kumpiga risasi kabla ya kujimaliza mwenyewe.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote