Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Wednesday, December 2, 2009

Burundi Kidedea Urembo Afrika Mashariki

Katika mpambano mkali wa warembo toka Afrika Mashariki wanaoishi barani Ulaya, mrembo toka burundi Bella Daniella Nzigamiye alivikwa taji la Miss East Africa Schengen 2009.Katika usiku huo wa aina yake uliombatana na shoo za nguvu toka kwa wasanii mbali mbali wa muziki wa kizazi kipya, warembo toka Afrika Mashariki walichuana vikali kwa mavazi mbali mbali kuanzia yale ya kitamaduni mpaka ya kuogelea.Mrembo toka Kenya alishika nafasi ya pili wakati mrembo toka Tanzania aliambulia nafasi ya tatu.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote