Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Wednesday, December 9, 2009

Tanzania kuazimisha Miaka 48 ya UHURU

LEO tarehe 9 Disemba ni Sikukuuu ya Maadhimisho ya miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika na kitaifa maadhimisho hayo yanaadhimishwa katika viwanja vya Uhuru vya jijini Dar es Salaam. Katika Madhimisho hayo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni amiri jeshi mkuu, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ambapo atalihutubia taifa katika viwanja hivyo na kukagua gwaride maalumu na vikundi mbalimbali vya halaiki .Pia viongozi mbalimbali wakuu watahudhuria wakiwemo wa Tanzania bara na Tanzania Visiwani.Kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho hayo inasema "Tulinde Uhuru na Amani kwa Maendeleo ya Taifa letu".

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote