Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, December 17, 2009

Huyu dada anusurika kuchomwa moto kwa wizi

Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Alejandra Maria Torres wa nchini Guatemala nchi iliyopo Amerika ya kati, akiwa pamoja na wezi wenzake watatu wa kiume, walijaribu kumchomolea pesa abiria mmoja kwenye basi lililokuwa limejaa abiria.Lakini mpango wao haukuenda vizuri, walishtukiwa katika harakati za kufanya wizi huo.Wezi wanaume walifanikiwa kukimbia na abiria walifanikiwa kumkamata Alejandra.Abiria hao wenye hasira walimvua nguo zote mwizi huyo mwanamke na kisha kumwagia mafuta ya taa kabla ya kujaribu kumchoma moto.Mwanamke huyo aliokolewa na polisi dakika ya mwisho kabla ya kuchomwa moto.

No comments:

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote