Uwepo wa Site hii Unategemea sana Ushirikiano wangu na wako, na ni njia mojawapo ya kuonyesha mshikamano na Jamii inayotuzunguka , PLS Usisite kunitumia Habari au kitu chochote chenye Uhakika ambacho hisia zako zitakupeleka kuwa kitaleta Mabadiliko na mafunzo katika jamii, Kumbuka kuwa msaada si Fedha wala Lulu bali chochote kinachoweza kuleta mabadiliko katika Maisha ya mtu mwingine. Kwa lolote usisite kuwasiliana nami kupitia chingasite@gmail.com au tumainijhn@yahoo.co.uk au simu No. 0712221744 na 0787221744. Karibuni Wote
Powered By Blogger

Thursday, December 31, 2009

Mashoga wa Kwanza kufunga ndoa Nchini Argentina


Alex Freyre mwenye umri wa miaka 39 na Jose Maria Di Bello mwenye umri wa miaka 41 (pichani) wamekuwa watu wa kwanza kufunga ndoa za jinsia moja katika nchi za Latin America.
Alex alifunga ndoa na mpenzi wake Jose katika harusi iliyofanyika katika mji wa Ushuaia kusini mwa Argentina .Mashoga hao ambao wote wana ugonjwa wa ukimwi awali walipanga kufunga ndoa yao desemba 1 ambayo ni siku ya ukimwi duniani lakini jaji wa mahakama moja nchini humo aliweka pingamizi la kufanyika kwa ndoa hiyo. Jose na Alex walipata kibali cha kufunga ndoa ya jinsia moja mwezi novemba mwaka huu na kupewa ruhusa na mahakama kufunga ndoa katika mji mkuu wa nchi hiyo Buenos Aries.

1 comment:

Anonymous said...

"If anybody tells you they expected any of this they're lying," Mackie told CNN during an interview to promote another movie, his Sundance film "Night Catches Us" this week. [url=http://www.mulberryhandbagssale.co.uk]Mulberry uk[/url] I'd like it to be fairly easily updated, but the app is deployed via clickonce and total number of users will be under 100 for the foreseeable future. [url=http://www.goosecoatsale.ca]canada goose chilliwack[/url] Oucnbvvba
[url=http://www.pandorajewelryvip.co.uk]pandora store[/url] Lqdnaduuj [url=http://www.officialcanadagooseparkae.com]canada goose[/url] dcpsqzzqg

VJN Super Motors

Wauzaji Mahiri wa Spare za Pikipiki na Magari yote toka Europe na Japan, Tupo Mtaa wa Msikitini Musoma Mjini, Pia tunaweza kutoa hudumu kwa watu wa Dar es salaam, Wasiliana nasi kwa Sanduku la Barua 557 Musoma, Simu No. 0282620610 , Barua pepe : vincent_nye@yahoo.co.uk. Karibuni wote